Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5


 
Unaonekana wewe ni dogo sana afu unakaa Kwa Dada ako
 


WANAWAKE HAMPENDANI NA HAMWEZI ISHI PAMOJA KABISA.
 
Mkuu una tatizo kubwa sana la kimsingi.
Niletee picha ya mke wako nimuongezee akili!
 
Wewe Pimbi kama siyo Mhaya nakata Rufaa.
 
Na bado, ongeza na kukojozw pia tunataka 🀣.
Aiseee, ndio maana takwimu zaonesha wanaume wanakufa mapemaaa..

Mie siwezi kwakwehiiii, acha nibaki nipo nipo nijipende niishi maisha yangu.. Mapenzi ni kama scammer hivi .. japo nahisi duniani kama task kubwa tuliyo umbwa nayo ni kuyombana 😎
 
Aiseee, ndio maana takwimu zaonesha wanaume wanakufa mapemaaa..

Mie siwezi kwakwehiiii, acha nibaki nipo nipo nijipende niishi maisha yangu.. Mapenzi ni kama scammer hivi ..
We baki na hiyo bikra yako, siku ukija kutolewa utachanganyikiwa 🀣
japo nahisi duniani kama task kubwa tuliyo umbwa nayo ni kuyombana 😎
Bado utasema yote πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…