Nimeachana na suala la kuoa mwaka huu

Nimeachana na suala la kuoa mwaka huu

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Wakuu habari zenu, mwaka huu mimi member mwenzenu mwizukulu mgikuru (babu) nilipanga huu mwaka usiishe niwe na mimi nimepata jiko.

Katika pitapita zangu nikakuta na toto moja zuri la kiarabu na linavaa mavazi ya heshima haswaa, nikazungumza nae tukawa tumeelewana vizuri basi mwisho wa siku mimi mwizukulu mgikuru (babu) nikawa nimepeleka posa na posa ikakubaliwa na pia nikapangiwa kiwango cha mahari milioni mbili taslimu bila kupunguza hata senti moja, nikakubali na nikawa nimeomba muda ili nijichange.

Sasa katika harakati za kujichanga pia nikawa namchunguza binti wa kiarabu ili nijue mienendo yake na madhaifu yake, sasa kitu kilichonifanya nisitishe mpango mzima ni kuwa baba mlezi au wa kambo anakula mzigo wa binti wa kiarabu na hii imesababishwa na ile hali ya mama mtu yaani mamaake na binti wa kiarabu kuwa ana safiri kwa mwezi mzima.
 
Unajiona Babu ni kiumri au?.. ulishaoa kabla au kuzaa?
 
Back
Top Bottom