Nimeachishwa kazi sijalipwa. Nifanyeje?

Nimeachishwa kazi sijalipwa. Nifanyeje?

Tafuta mwanasheria.
Changamoto wanasheria wanataka hela ndefu ,, yaani nilikuwa nafanya kazi kampuni ya ulinzi waliniajiri kutokea mkoani toka waniterminate na barua wamenipa tumesainishana na malipo lakini hawanisikilizi hata nauliza kama kuna taasisi naweza pata msaada wa bila malipo
 
Nenda kwenye ofisi za afisa kazi kwenye eneo ulipo kaeleze hoja zako..au kwenye vyama vya wafanyakazi kama ulikuwa mwanachama huko.
 
Changamoto wanasheria wanataka hela ndefu ,, yaani nilikuwa nafanya kazi kampuni ya ulinzi waliniajiri kutokea mkoani toka waniterminate na barua wamenipa tumesainishana na malipo lakini hawanisikilizi hata nauliza kama kuna taasisi naweza pata msaada wa bila malipo
Kama siku hazijatimia 30 kamili fanya mpango uende CMA hapo utapata msaada zaidi ya kisheria, hiyo CMA ni tume ya usuluhishi wa migogoro kama hiyo yako, na kisheria inapaswa kulipwa nauli kama mkataba ulisainia mkoa mwingine na ukapelekwa kituo sehemu nyingine ya kazi.
 
Back
Top Bottom