Nimeachishwa kazi sijalipwa. Nifanyeje?

Balunyu95

Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
23
Reaction score
21
Nimemaliza siku 30 toka nipewe termination lakini hawataki kunilipa hela ya likizo pamoja na nauli ya kunirudishwa walikonitoa nimesaini toka terehe 6 mwezi wa kumi mpaka sasa wananizungusha msaada nifanyaje?
 
Nimemaliza siku 30 toka nipewe termination lakin hawataki kunilipa hela ya likizo pamoja na naulinya kunirudishwa walikonitoa nimesaini toka terhe 6 mwezi wa kumi mpaka sasa wananizungusha msaada nifanyaje?
Waambie wakulipe
 
Tafuta mwanasheria.
Changamoto wanasheria wanataka hela ndefu ,, yaani nilikuwa nafanya kazi kampuni ya ulinzi waliniajiri kutokea mkoani toka waniterminate na barua wamenipa tumesainishana na malipo lakini hawanisikilizi hata nauliza kama kuna taasisi naweza pata msaada wa bila malipo
 
Nenda kwenye ofisi za afisa kazi kwenye eneo ulipo kaeleze hoja zako..au kwenye vyama vya wafanyakazi kama ulikuwa mwanachama huko.
 
Kama siku hazijatimia 30 kamili fanya mpango uende CMA hapo utapata msaada zaidi ya kisheria, hiyo CMA ni tume ya usuluhishi wa migogoro kama hiyo yako, na kisheria inapaswa kulipwa nauli kama mkataba ulisainia mkoa mwingine na ukapelekwa kituo sehemu nyingine ya kazi.
 
Pole sana kiongozi, umefanya nao kazi kwa muda gani hao...
Nimefanya nao miaka miwili mkuu ila washanilipa tayari japo ilinichukua mda mpaka nikaenda kulalamika Kwa manisipaa kinondoni ndo wapigiwa simu wakanilipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…