Bintimpendamaendeleo
Member
- Jun 12, 2012
- 8
- 1
Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane!! Nimejaribu kuomba msamaha bila hata kosa kutokulijua ila vimeshindikana, naombeni ushauri wenu wa hali na mali wanajamii wenzangu!

huyo alikuwa anatafuta sababu ya kukuacha......mpotezee.....
Mtandao upi huo? JF au facebook? Unapoomba samahani inaonyesha ulitenda kosa sasa kama huoni tatizo la kuweka kosa lako hapa basi fanya hivyo. Hata siku moja huwezi kuomba msamaha kama huna kosa.
Best wangu BAK, wakati mwingine unapoomba msamaha haimaanishi kuwa umekosea ama umekubali kosa. Inaonesha ni kiasi gani unajali uhusiano wenu kuliko your right to be right.
Shosti, pole. If it was meant to be atakuja mwenyewe akikumbana na ukweli. If u love something, let it go! If it comes back, it is urs for keeps.
Inategemea unadeal na mtu wa aina gani, mwingine anaweza kukuelewa kama huyu anajali sana mahusiano yetu ndio maana ameomba samahani mwingine ndio inaweza kuwa kitanzi cha kumtosa mpenzi.
Kama alivyosema Preta anatafuta sababu, hujautumia vibaya kisha umeomba msamaha na bado hajaridhika. Mwache aende.
Omba ruhusa kwa Preta akikubali ntakusaidia!!Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane!! Nimejaribu kuomba msamaha bila hata kosa kutokulijua ila vimeshindikana, naombeni ushauri wenu wa hali na mali wanajamii wenzangu!
ila hii mitandao ya kijamii kwa kweli ina utata sana tu, kwa wenye hasira za karibu lazima ummwage mtu.
Dalili ya mvua ni . . .