Nimeachwa kisa ni mtandao fulani wa kijamii

Nunua video ya Yvone Machaka (Yvone ChakaChaka) itakufariji. Angalia mambo ambayo mume alikuwa akimfanyia mwenzake..... katika ule wimbo wa "Let Him Go",..

Mwache!!
 
Nunua video ya Yvone Machaka (Yvone ChakaChaka) itakufariji. Angalia mambo ambayo mume alikuwa akimfanyia mwenzake..... katika ule wimbo wa "Let Him Go",..

Mwache!!

Mjaze mwenzako ujinga,we unafikiri ni rahisi kwake kumwacha aende?
Ebu nambie kilichomsukuma kuanzisha uzi huu nini?
Let her suffer alittle bit!
Stuka!
 

Mtandao upi wa kijamii?..na yepi ambayo unadhani anayajua??..na unaombaje msamaha kama hujui kosa??..funguka!!
 
si ushaachwa, unaomba ushauri wa nini?

songa mbele na maisha yako......
 



Siyo wewe umeaga kwe huo mtandao wa kijamiii umewapa rafiki zako 48 hrs, utakuwepo tena
well pole dada yangu, ingawa mimi pia nakuhusudu hila nimeoa bahati mbaya
 
Akufukuzae,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
pole sana lakini ulikua unaomba msamaha kwa kosa gani wakati ww hukutumia vbaya mtandao huo funguka wakusaidie
 
Wanaume wa siku hizi wana mambo mtu hata hajaoa lakini anakupangia mambo utafikiri baba ako! akhaaa..

of course kama unamtegemea kama baba'ko lazima akupangie mambo kama baba'ko vile vile
 
of course kama unamtegemea kama baba'ko lazima akupangie mambo kama baba'ko vile vile

sitaki kuongeza neno hapo

binti mpenda maendeleo ni mtandao gani ili na sisi tupime uzito wa 'hukumu'?
 
huyu dada anastahili hukumu hiyo ndo maana hasemi kilichotokea humo kwenye mtandao.
 
Kapoteaaa vuuuuuuuuuu kama jasho la kuku.....
Hata hataki kuongea mleta mada jamvini.....
 
Ungetupa na baadhi ya malalamiko ili tujue namna ya kukusaidia!
 
mmh!huyo jamaa anaishi enzi za wagagagigikoko!mbona sisi wengine hata waume zetu wamo mitandaoni na hata akituma post unamjibu wako shwari tu?
 
Pole mwambie huku uko kimaandishi tu kupunguza msongo wa mawazo ndo mana ni vizuri kutofahamiana mkiwa mnawasiliana kwenye mitandao ya jamii shida fb sura yako na watu wanokuhusu wote wanaonekana huku ndo poa labda umwambie mtu ww ukoje pole sana mi najitahidi nsijulikane ikiwezekana hata nimwambie mods waifute id yangu nikiona soo linaibuka lol ila huyo hata yeye atakuwa anaflirt sana na anafanya kweli ndomana kapata wivu mwambie wewe ni kiuongouongo tuu au unafanya kwelii poooleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…