JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
shkraan saan mkuukwanza kubali kuwa si wewe wa kwanza kuachwa, Obama na umaarufu wote wa kuwa rais wa kwanza mweusi alishawahi kuachwa na mpenz wake, kila mwanaume ameshawahi pitia hayo, sasa wote tungeua ingekuaje?
.
.
jipange upya, kula vizuri fanya mazoezi rekebisha mapungufu yako kama yapo, jifunze jinsi ya kuwa mwanaume gentleman kwa kusoma nyaraka mbalimbali, tafuta marafiki wa kike piga nao stories, siku ukiamua tafuta mwanamke ambae anakuvutia sana, utampata!
.
.
Hongera sana kwa kuachwa, na pole sana kwa unavyojisikia, japo hio ni hatua ya kwanza ya uanaume, imagine uoe sasa na hio hali halafu upate kashkash za ndoa si utaua wewe! relax kijana relax!
😂 Niseme nisiseme..?Kubaliana na matokeo na usonge mbele, ni mapito tu kuelekea ukubwani, utakua sawa. Na utapata bonge la babe mwingine mzurii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Sijasema kitu lakini K vant ndogo ni 3500 nazani
Kubaliana na matokeo na usonge mbele, ni mapito tu kuelekea ukubwani, utakua sawa. Na utapata bonge la babe mwingine mzurii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume unaachwaje?
tafuta pesa
Shukran mkuuUtamuacha na utasahau kabisa.mwanzoni ndo pagumu Sana.
Fanya ivi hauna kitu kingine unachokipenda ukifanye like mazoezi,mziki ,uende club ukale mziki mnene unaopiga mpaka kwa moyo unadunda.
Ama tafuta mdada mwingine mtoke naye out,ama hata Kodi mdada akuweke sawa maana emotions ziko strong Sana.
So unaona kuwa unataka kuua.
Sasa mwili wake ama wako ndugu.
Kama ajisikii kuliwa na wewe muache akaliwe na anayejisikia.
Ungekaa nje kidogo ukajua kuwa mapenzi hayalazimishwi.
Unaopoa demu wa kirusi unamleta rumu hostel kufika anamkubali mshkaji mmoja ivi matata kuliko wewe.
Demu anakuambia mie napenda huyu anile ukimaindi anakuambia kuwa kwani mwili ni wako mpaka unipangie wa kunila.
Yabidi uwe mpole mkuu.
Nje wadada ama ke Wana haki kinouma.wao kwanza second pets third ndo sie men.
Demu kule akiwa anataka umkule ukikataa unashtakiwa Mana utaambiwa kuwa unamuathiri kisaikolojia,kazi hatafanya vizuri na je akijiua utajibu Nini Ila wewe unaambiwa kuwa ni mwanaume.
Yabidi umkule mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijasema kitu lakini K vant ndogo ni 3500 nazani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kweli ni green kama jina lako.
Hebu kata makofi mawili ukute ni kisirani cha period.