Nimeachwa na mpenzi wangu, nifanye nini niimudu hali hii?

Pole sana dogo.

Ulikua nae huyohuyo ama ulikua na mwingine pembeni, kama ulikua na mwingine basi ongeza mapenz kwa huyu mwingine.
Kama ndo alikua yeye pekee, piga moyo konde jitahidi kutomtafuta kabisa futa namba zake, taratibu tu utamsahau.
Kabisa
 
Mnajikutaga love boys uongo?

Tomb* sepa uone nani atakae kuumiza.

TAFUTA HELA KIJANA MENGINE ANASA TU.

#YNWA
 
Da we jamaa utakuwa kuwa kichwa Sana...
 
Mwache na wewe hana .usilamishe mapenzi utakufa wewe
 
Ukweli ndio huo, hakupendi. usipingane na ukweli. shukuru kakwambia ukweli. ushauri wangu ili kumsahau. kata njia zote za mawasiliano nae, futa picha zake, jikubali unaeza ishi bila yeye. (furaha yako isimtegeme mtu) jipende mwenyew, kua bize na shughuli zako zinazokuingzia kipato.. mwombe Mungu wako. Kama unaona kakukosea msamehe kiroho safi, maana ukimwekea kinyongo itakua ni vgum sana kutoka kichwani. hivyo samehe. jingine kumbuka hata baada ya kuachana ni lazima maisha yaendele. jizoeshe tu mambo yataka sawa. kila lakher
 
Ndio huyo huyo sinaga tabia ya kuwa na wawili nikimpta mmoja huwa nabaki hapo hapo
Ndo unapofeli gari lazima liwe na tairi ya ziada mzee baba ikitokea kama hyo yako huhangaiki kuumiza kichwa na kuja kutafta huruma huku unampa go ahead unasogeza chombo ingine ova
 
Pole sana, jipange upya hiyo ni ajari kazini tu, inuka mapambani yanaendelea
 
Mrejesho mkuu,,, nini kinaendelea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…