Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Pole huyo si fungu lako utapta wako uliyepangiwa na mungu
 
Pole mkuu
 
Tujifunzeni kuwajibika, siyo kutafuta wa kuwabebesha lawama.

Umemwambia unaenda. Amewataarifu ndugu, marafiki na jamii yake kuhusu ujio wako siku fulani. Imefika, haujatokea.

Huyo rafiki yake J wa M ndiye aliyekupa dharula ama kukuzuia kwenda? Unajua amefedheheka kiasi gani kutoa taarifa ya ujio wa mtu ambaye mwisho wa siku hakutokea?

Ninafikiri unapaswa ulaumiwe kwa kutokufika, ama walau kwa kutoeleza kwa ufasaha ni vipi dharula yako imepelekea kuahirisha.

Otherwise, you have yourself to blame. Wajibikia uamuzi wako.
 
Tukiachwa huwa tunakuwa wabinafsi sana

Umeepushwa wewe au kaepushwa yeye na Umalaya wako!
 
Kosa kuu ulilolifanya ni kumpa madaraka yote akajitanua na akajua wewe kwake umefika, kmmmk usikedanganywa tena na mtu yoyote yule kuwa wanawake wanapenda Honest men. Wewe endelea na umalaya wako tu iko siku utampata descent mmoja na atatulia na wewe sio wewe kutulia nae


Elewa neno Atatulia.
 
Kadiri unavyo kua mwema kwa mwanamke ndivyo kadiri unavyoonekana bwege machoni pake,

Jifunze kutokutulia na mwanamke, jifunze kumpuuza mwanamke pia kuwa mbinafsi sana , jipende mwenyewe mpaka ukose upendo wa kumpa mwanamke na ukipata demu usitulie nae wewe chapa tuu na endelea kusanya list ipo siku utapata mwanamke atakaye tulia kimnya na wewe.


Nb : Usichanganye imani kwenye mahusiano
 
Nashukuru sana mkuu
 
Hii iko kitaalamu sana. Nashukuru mkuu.
 
Bado mpaka useme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…