Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

Pole sana
 
Iliendelea vipi
 
Huyu member ameanza utapeli, nimemfanyia usmart ila amenletea mambo ya kiswahili. Kuweni makini naye!!!
 
Hao ndio wanawake sasa,mamasta wakuchanga karata. Jinsi alivyojiamishisha kwako hawezi kukucha,utakuta kuna wengine kama wanne hv aliwaambia hivyo hivyo. Malaya wa zamani,umekutana na malaya wa sasa. Kubababake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…