Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,198 May 30, 2012 #1 Wakuu, nilikuwa na mchumba wangu kutoka nchini kenya, lakini kwa yale niliyoyaona kwenye video hii, sina mpango tena naye. Fuatilia upate kufahamu nilichokiogopa. Mume apigwa na bibi Nyeri - YouTube
Wakuu, nilikuwa na mchumba wangu kutoka nchini kenya, lakini kwa yale niliyoyaona kwenye video hii, sina mpango tena naye. Fuatilia upate kufahamu nilichokiogopa. Mume apigwa na bibi Nyeri - YouTube
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 31, 2012 #2 chezea wakikuyu wewe...