wadau habarini. na biashara yangu nataka iendeleza, sasa naitaji mkopo kuweza fikia lengo hilo. nimeajiriwa kwa mkataba, na mshahara wangu si mbayaz. swali lamgu juna bank ambayo unaweza kunikopesha kwa kutumia salary slip yangu?
asante
Mkopo unapata, piga hesabu umebakisha muda gani mkataba uishe....kutokana na mshahara wako nenda benk kama utaweza kulipa kwa kipindi kilichobaki......