Nimealikwa forever business kwa anaejua kabla sijaingia mkenge

Nimealikwa forever business kwa anaejua kabla sijaingia mkenge

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Leo nimepata mwaliko kwa njia ya mitandao hawa wanajihusisha na biashara za alovera Nimeulizwa nipo tayari.?

Kabla sijasema naomba mwenye uelewa na hawa jamaa nisije ingia mkenge..

Sent using Jamii Forums mobile app[/URL
 
Nenda tu mkuu,hata wakina Mo/Mengi hio biashara imewatoa sana.

Baada ya miezi 3 utaendesha Range rover huku ukiishi mitaa ya sea cliff kule.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nenda ukachangie M utumie bidhaa, kwa ahadi kemkem. walishasema waungwana- ukiona unaitiwa fursa jua wewe mwenyewe ndio fursa.
 
Bidhaa huwa ni nzur na ndo maana utashawishika kuona watu wanatoa shuhuda zao tatizo ni bei zabidhaa hizo ni kubwa mno kiasi cha kufanya watz kama ss kushindwa kununua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushaambiwa Forever.
Utajutia fedha yako forever.
Hivi siku hizi kiingilio bado ni laki 7?
 
Mwaka 2014 nilikuwa mpanda mjini ikatokea fursa ya hawa jamaa. Tulienda kuuza dawa kitaa yaani tulikuwa tumejulikana, mkipita sehemu wengine wanawacheka na kejeli kibao. Dawa zenyewe zilikuwa very expensive sana. Nilichofanya ni kugeuza na kwenda kuwakabidhi dawa zao na kisepa home.
 
Back
Top Bottom