kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Leo nimepata mwaliko kwa njia ya mitandao hawa wanajihusisha na biashara za alovera Nimeulizwa nipo tayari.?
Kabla sijasema naomba mwenye uelewa na hawa jamaa nisije ingia mkenge..
Sent using Jamii Forums mobile app[/URL
Asante mkuuHiyo biashara ni pasua kichwa ! Products zao ni very expensive na kwa uchumi huu wa Magu utakoma aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu kwanini?Ili iweze kufanya hizo busness unatakiwa uwe nusu mwehu nusu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Asipokuelewa hapa hataelewa maisha yakeIli iweze kufanya hizo busness unatakiwa uwe nusu mwehu nusu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakutana huko na motivational speakers hadi utajikuta as if umechelewa hivi !! Think before deciding
Ulishawah fanya?Ili iweze kufanya hizo busness unatakiwa uwe nusu mwehu nusu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kunitupia kwenye shimo la maji ya moto mtoto mwanaume mwenzioNenda tu mkuu,hata wakina Mo/Mengi hio biashara imewatoa sana.
Baada ya miezi 3 utaendesha Range rover huku ukiishi mitaa ya sea cliff kule.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu changamoto zake zikoje?Nenda na ujiunge, hutojutia nimejiunga ndani ya mwaka mmoja na tayari nina crown athlete 4,na nyumba za maana saba mikocheni[emoji16], akili kumkichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahha hatari!nenda ukachangie M utumie bidhaa, kwa ahadi kemkem. walishasema waungwana- ukiona unaitiwa fursa jua wewe mwenyewe ndio fursa.