KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
wanajf mambo vip? Jamani mwenenu nimetumiwa sms na mpenzi wangu wa zamani tuliyekuwa tumeachana naye kwa kipindi kilefu ananiambia eti anataka kuwa nami kesho ili tuisherehekee sikuku ya valentine jamani nisaidieni huyu ni mkweli
kesho ni siku ya wapendanao. mngekuwa mnapendana msingeachana unless kama kuna interest behind
WanaJF mambo vip? Jamani mwenenu nimetumiwa sms na mpenzi wangu wa zamani tuliyekuwa tumeachana naye kwa kipindi kilefu ananiambia eti anataka kuwa nami kesho ili tuisherehekee sikuku ya valentine Jamani nisaidieni huyu ni mkweli
jina lako tu ni jibu kwa swali lako. Sasa sisi tukushauri nini?
mmmh kazi ipo,bora hiyo siku ipite.
kwa siku ya valentine au?Nimependa avatar yako, nipe jina la huyo kwenye avatar ni google nimlie ngunga.
kwa siku ya valentine au?