Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum
Hao viti maalum ni kuongeza mzigo tu Kwa Kodi za wananchi, bora viti hivyo viondolewe tu ikija katiba mpya. Manake mara nyingi mie naona huwa hawana tija yoyote ,au kumwakilisha yoyote zaidi ya kufyonza fedha za bure ,kwa nchi maskini kama Tz...Habari wana jf
Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum.
Huwa pia namsikia akitajwa kwenye masuala ya jumuiya (dini) ila sijawahi kumwona akishiriki nasi. Wala sijasikia kuna mchango kadhaa toka kwa mbu ge. Sasa najiuliza, kazi yao hawa ni ipi kwa jamii husika? Au sio mbunge wa eneo letu bali makazi tu? Yani kweli tusikuone katika mstukio ya kijamii? Kazi ya hawa wabunge ni ipi hasa?
Yaani mwanadamu una miaka 18 na zaidi unategemea mwanasiasa ambae ni mwanadamu punguani kama ulivyo wewe eti aje aokoe maisha yako?Habari wana jf
Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum.
Huwa pia namsikia akitajwa kwenye masuala ya jumuiya (dini) ila sijawahi kumwona akishiriki nasi. Wala sijasikia kuna mchango kadhaa toka kwa mbu ge. Sasa najiuliza, kazi yao hawa ni ipi kwa jamii husika? Au sio mbunge wa eneo letu bali makazi tu? Yani kweli tusikuone katika mstukio ya kijamii? Kazi ya hawa wabunge ni ipi hasa?
Hao wanasiasa hawataki tujiongoze, sasa tufanyeje?Yaani mwanadamu una miaka 18 na zaidi unategemea mwanasiasa ambae ni mwanadamu punguani kama ulivyo wewe eti aje aokoe maisha yako?
Yaani unakaa kabisa unafikiria serikali ni kama mzazi wako ana uwezo wa kukupa chochote unachotaka kama mtoto wake?
Yaani unaona una haki ya kupata tokenization kutoka serikalini kama mtoto vile?
Yeye mwenyewe maisha yamemshinda hana akili hata kukushinda wewe eti "aje kusaidia watu",yeye ana uwezo gani wa " kisuper human " kukusaidia wewe na wananchi wenzio?
Hana lolote,tumieni akili zenu,hard work,solve your own problems individually,u dont need a government or a political messiah to drop from the sky and rescue you fools!
We dont need a government,we need ourselves as citizens to provide solutions to each other at a fee coz we are smarter and skilled enough to run our own individual lives as free people!
Kweli kabisaHao wanasiasa hawataki tujiongoze, sasa tufanyeje?