Nimeambiwa morali ya wachezaji wa Yanga ipo chini

Nimeambiwa morali ya wachezaji wa Yanga ipo chini

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii ni kutokana na kulaumiwa sana na mashabiki kwa kutolewa Klabu Bingwa Afrika. Kosa lililofanyika ni mashabiki wao kudanganywa na kuwa na matarajio makubwa mno.

Kwenye soka kuna wavakati wachezaji wanachoka, hata kama ni wazuri kiasi gani. Yanga hawajazoea kucheza mechi mfululizo. Tayari nimemsikia mwalimu wao akilalamika eti ratiba ngumu.

Angepangiwa ratiba kama aliyokutana nayo Simba miaka miwili mfululizo sijui angesemaje? Sasa wapo kwenye michuano ya kimataifa, hivyo watarajie ratiba ngumu hakuna jinsi.

Ila kwa wanavyopenda sifa za hapa nyumbani watajilegeza mechi za shiriksho ili watolewe wabaki na ratiba nzuri hapa nyumbani kama waliyokuwa nayo mwaka jana

Kwa saa hiyo Aziz anawaza kuondoka dirisha dogo, amechoka na gubu.
 
Umeambiwa wewe kama nani? Cha muhimu baada ya dakika 90 usirudi hapa kumlaumu kocha wenu na refa.
 
Umeambiwa wewe kama.nani?cha muhimu baada ya dakika 90 usirudi hapa kumlaumu kocha wenu na refa.
Sio tatizo lako kulelewa na dada zako ndiyo maana kila unayeongea naye ni lazima umuite dada.Watu kama nyie ndio wavaa hereni na kusuka nywele hamnipi shida yoyote
 
Simba hawana wasiwasi. Wakifungwa ni Kama wamefunga na wakifunga wanakuwa wamefunga. Hakuna shida.

Lkn Yanga wakishinda inaonekana wachezaji wao walisajiliwa kwa ajili ya kumfunga Simba tu. Wakifugwa ni shida pia.
 
Sio tatizo lako kulelewa na dada zako ndiyo maana kila unayeongea naye ni lazima umuite dada.Watu kama nyie ndio wavaa hereni na kusuka nywele hamnipi shida yoyote
Kimataifa ya konyo
 
Sio tatizo lako kulelewa na dada zako ndiyo maana kila unayeongea naye ni lazima umuite dada.Watu kama nyie ndio wavaa hereni na kusuka nywele hamnipi shida yoyote
Wewe punga acha kutafuta mkuyenge kwa nguvu,,huwa situmii mashoga mimi kaa mbali sana na mm shetani ibilisi punga kiongozi.
 
Wachezaji wa Yanga wamefanya vizuri karibu msimu mzima mimi binafsi nawapongeza.

Ila baadhi washabiki wa Yanga hawawatendei haki wachezaji wao.

Wachezaji wanatakiwa kutiwa moyo na sio kukebehiwa wote. Kama mmoja anakosea ni sawa kumkosoa ili ajirekebishe.

Kibaya zaidi baadhi ya washabiki wa Yanga wanafikia hadi kuwataja kiufedhuri wachezaji wa Kikongo kiubaguzi, kuwa wanaihujumu timu na kuiangusha wakati wametetema nao msimu mzima.
Wakongo wamesaidia sana kuipandisha Yanga.

Hili halikubaliki kwenye anga za soka.
 
Hii ni kutokana na kulaumiwa sana na mashabiki kwa kutolewa klabu bingwa Afrika.

Kosa lililofanyika ni mashabiki wao kudanganywa na kuwa na matarajio makubwa mno.

Kwenye soka kuna wavakati wachezaji wana choka, hata kama ni wazuri kiasi gani.

Yanga hawajazoea kucheza mechi mfululizo. Tayari nimemsikia mwalimu wao akilalamika eti ratiba ngumu.

Angepangiwa ratiba kama aliyokutana nayo Simba miaka miwili mfululizo sijui angesemaje.

Sasa wapo kwenye michuano ya kimataifa, hivyo watarajie ratiba ngumu hakuna jinsi.

Ila kwa wanavyopenda sifa za hapa nyumbani watajilegeza mechi za shiriksho ili watolewe wabaki na ratiba nzuri hapa nyumbani kama waliyokuwa nayo mwaka Jana

Kwa saa hiyo Aziz anawaza kuondoka dirisha dogo. Amechoka na gubu
Sawa bwana mbumbumbu tumekusikia
 
Wewe punga acha kutafuta mkuyenge kwa nguvu,,huwa situmii mashoga mimi kaa mbali sana na mm shetani ibilisi punga kiongozi.
Maneno yako yanaonesha wewe ndiye ibilisi unavita na matendo yako yaliyojaza akili yako.
Maana mtu hunena yale taliyoujaza moyo wake.
Ila pole kwa tatizo la kisaikolojia kwani inaonekana mabwana wa dada zako walikuonja sana utotoni kiasi kwamba unaona hayo tu kwenye akili yako.
 
Acha kutafuta mkuyenge kwa nguvu..
 
Back
Top Bottom