Nimeambiwa nisifanye mapenzi

Nimeambiwa nisifanye mapenzi

Unahisi doctor anakubania pampuchi ya dem wako fanya utakacho basi
 
Mapenzi na mtoto wako bora kipi?
Wabongo bana we daktari kakueleza unakuja kuuliza sie huku wengine na sie hatuna taaluma utashauriwa mambo yakakutokee puani UKOme
Doh..samahani dada kama nmekuuzi...nmeuliza tu...
 
Habarini?

Wadau baada ya mchumba-angu kunasa ujauzito Dr. Amenambia tustop sex kwa miez minne.

Hivi hii ni kawaida au ni chuki binafsi za Daktari?
Chunguza labda doc anakusaidia mkuu
 
Kwani Tanesco wakikata umeme kutumia jenereta ni kosa? Jiongeze tu hapo.
 
Back
Top Bottom