KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
NimefundwaWe vikomets vyako bhana..! Wachaga hawanaga haraka na kuchikuchi mbona weye unapenda hivyo??
Wachaga mnafundika kweli maana wababe kwenye mambo yetu..! Ila ukimpatia utasikia sauti za ajabu.Nimefundwa
Maswali yako yote yanayohusiana na ujauzito wa mkeo na huo ushauri uliopewa na daktari ulipaswa umuulize daktari, ni haki yako kujua na ni wajibu wa daktari kukuelimisha. Bado hujachelewa, rudi kwa daktari ukaongee nae. Utakapo elewa sababu unaweza ukawa more willing na tolerant ku abstain from sex kwa hiyo miezi minne.Hakutakua na madhara?
Mbona una sura ya kike?Angalia, isije ikawa daktari ndo anatafuna
Nashukuru kwabushauriMaswali yako yote yanayohusiana na ujauzito wa mkeo na huo ushauri uliopewa na daktari ulipaswa umuulize daktari, ni haki yako kujua na ni wajibu wa daktari kukuelimisha. Bado hujachelewa, rudi kwa daktari ukaongee nae. Utakapo elewa sababu unaweza ukawa more willing na tolerant ku abstain from sex kwa hiyo miezi minne.
Ha ha we unataka mambo au Sauti?Wachaga mnafundika kweli maana wababe kwenye mambo yetu..! Ila ukimpatia utasikia sauti za ajabu.
Niliwahi piga mmoja akawa anaongea kichagga mwenzie sielewi[emoji15] [emoji15] [emoji15] mara shimbonyi..!
Ile sauti nilidhani kapandisha majini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha we unataka mambo au Sauti?
UngekemeaIle sauti nilidhani kapandisha majini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wachaga mna mambo!Ungekemea
Ha ha ha yeshu na mariaWachaga mna mambo!