Nimeambiwa nisifanye mapenzi

daktari kakushauri hutaki kumuelewa sijui unataka ushauriwe na mganga?
 
Uwe unasema ukweli ndg. Doctor atakua amekuambia hivyo kwakuwa mkeo yuko nanrisk ya miscarriage yaani mimba kuharibika nankutoka so akaona bora usimchokonoe kwa muda
 
Pengine demu wako kamwambia Dr kwamba wewe una mboro ndefu huwa unamuumiza hivyo anahofia usije kumtoa mimba bure..!
 
Habarini?

Wadau baada ya mchumba-angu kunasa ujauzito Dr. Amenambia tustop sex kwa miez minne.

Hivi hii ni kawaida au ni chuki binafsi za Daktari?
Huyo dk hakupendi anataka ,hainaga ushemeji,tunakulaga awe yeye.Inabid ugonge sana mpaka siku ya kudeliiver,tena inakuwa tamu maana ya moto,laini na iko open most of the time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…