GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu hii Post yako imenifanya nicheke mpaka basi. Eti bola tujadili sasa hivi yatakuwa yamelala. Sina Mbavu.....!!Bola tujadili saiv yatakuwa yamelala
Bola tujadili saiv yatakuwa yamelala
Huyo kanasa tayarSisi tulale, tupo imara hadi mgongwe morocco
Kabisaa na makocha wapange huu mfumo, 4-1-4-1
Yaan hapo waachezaji wakiwa na ari na morari mbna tunapitaa,
Kikubwa tuwe waangalifu kuepuka kona na fouls zisizo na mpango, yaan wachezaji wajue kuipambania team.
[emoji881] nguvu 1
Hallah [emoji3590][emoji833]
[emoji120][emoji120]
Mkuu hivi viumbe wachache waelewa ila wengi wao. EeeeeeehMkuu hii Post yako imenifanya nicheke mpaka basi. Eti bola tujadili sasa hivi yatakuwa yamelala. Sina Mbavu.....!!
Umeandika Kiutaalam mno Mtani wangu. Kuna muda ukiacha Bangi you become very Intelligent and Analytical like this.Binamu bana mechi hiyo inatakiwa viungo na beki wa kutosha mjaze ili kuvuruga move za washindani wenu hasa huo mfumo wako kwa ugenini haufanyi kazi maana lazima kulazimisha defending iwe strong lakini right na left wing pamoja na kupanda na kushuka lakini waweze kukaba vyema na wawe na pumzi, halafu kibu awe anasumbua sumbua huku mnapiga hesabu za counter za mara kwa mara, na kustukiza tofauti na hapo mmekwisha
Wee binamu hebu tuachee kwani, khaaahBinamu bana mechi hiyo inatakiwa viungo na beki wa kutosha mjaze ili kuvuruga move za washindani wenu hasa huo mfumo wako kwa ugenini haufanyi kazi maana lazima kulazimisha defending iwe strong lakini right na left wing pamoja na kupanda na kushuka lakini waweze kukaba vyema na wawe na pumzi, halafu kibu awe anasumbua sumbua huku mnapiga hesabu za counter za mara kwa mara, na kustukiza tofauti na hapo mmekwisha
Unaonekana mpira ila hauna taarifa subiri kkusaidie WAC sehemu ya kiungo kuna Yule Jabran jezi namba 5 na Jalal Daoyd jez namba 6 hawa wana umri wa miaka 34,na 31 hawa ndio backbone ya WAC ukikaba hawa wanakosa plan B rudia kuangalia mechi hizi mimi nmeangala dkk 90 angalia mechi za AS vita zote 2,js petro de luanda ya kule morocco au hata ya angola pia cheki za js kabylie zote mbili pia na ya simba hapa Tz,WAC hawana kasi kama RAC ila wanacheza kikubwa na wanakuazibu kutokana na makosa yako binafsi...Simba sehemu ya kiungo ni Kanoute hajafika na mzamiru ambae lbd ndio ana 30+ nakuongezea kitu ambacho mashabiki maandazi hawaweI kufuatilia Mechi ya Juzi kanoute kagombania Aerial ball kagombania mipira minne na kashinda mipira yote mi 4 asilimia miamoja kashinda.shida ya wachambuzi wengi wanapiga story redioni hawaendi kwenye small small details Ramadhani Mbwaduke wa Azam TV anaelezea vizuri sana mpira kiundani sio blaa blaa za wasimulia mechi wanaokaa vijiweni kuelezea story na matokeo ya nyumastrength tu na umri wa wachezaji wenu una waruhusu kukimbizana speed na wale watoto ? your doomed [emoji735]️
4 kwa 1, shaulile alitupia 2.Binafsi sijafanikiwa kuangalia mechi za Mamelody ila nafikiri ifike muda timu za bongo tujifunze kwa Memolody jinsi ya kuwafunga waarabu mana huwezi kuacha kukutana nao, kwa sababu wamelishika soka la Afrika, timu zao zinapatika katika hatua mbalimbali za mashindano.
Hivi hao Mamelody wanatumia mbinu gani kuwafunga hawa waarabu mana walikuwa wameishashindikana ila kwa sasa Mamelody anajipigia tu Waarabu.
Juzi kampiga Belouzdad goli 3-1, na Belouzdad alikuwa nyumbani.