Hiyo ni kweli,sasa ili wasitulazimishe cha kufanya ni kumalizana nao kwenye nusu yao huko huko,marufuku kabisa kuwasubiri waje kwenye zone ya simba afu ndo waanze kukaba ni hatari sana..watakuja na mbinu mbadala ya kupiga fly over hapa sasa ndo kibu d na kina kapombe na zimbwe na mwenzie saidoo wanapotakiwa kuwa sharp kuziba flanks,ili wasipite.Nina wasiwasi wale warabu watatulazimisha tufanye makosa wenyewe yatakayotugharimu either Red card au Penalty.
CAF kugumu sana kumejaa majabali ya Africa tofauti na kule ndondo cup.
Aina ya wachezaji wa Mamelody ni tofauti na Simba, mchezaji tegemeo Simba ni chama, spidi ya konokono, wengine wazee, mwarabu inatakiwa umpeleke spidi mwanzo mwisho, utawezaje timu imejaa vibabu kina Onyango?Binafsi sijafanikiwa kuangalia mechi za Mamelody ila nafikiri ifike muda timu za bongo tujifunze kwa Memolody jinsi ya kuwafunga waarabu mana huwezi kuacha kukutana nao, kwa sababu wamelishika soka la Afrika, timu zao zinapatika katika hatua mbalimbali za mashindano.
Hivi hao Mamelody wanatumia mbinu gani kuwafunga hawa waarabu mana walikuwa wameishashindikana ila kwa sasa Mamelody anajipigia tu Waarabu.
Juzi kampiga Belouzdad goli 3-1, na Belouzdad alikuwa nyumbani.
mambo ya kifundi tuwaachie makochaNami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni wana Simba SC Wenzangu wote hapa JamiiForums tulijadili hili Kiufundi na tafadhali kama unajijua Wewe ni Shabiki wa Mganga Kasema Jini linataka Damu za Wanachama Wetu 500 Tu Ili Tushinde kwa Kishindo Jumapili FC usipoteze muda wako Kuchangia au Kushauri chochote kile kwani tunawajua kwa Unafiki Wenu na Kamwe hamtutakii mema.
Cc: SAGAI GALGANO
Pompoma USikhofuNami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni wana Simba SC Wenzangu wote hapa JamiiForums tulijadili hili Kiufundi na tafadhali kama unajijua Wewe ni Shabiki wa Mganga Kasema Jini linataka Damu za Wanachama Wetu 500 Tu Ili Tushinde kwa Kishindo Jumapili FC usipoteze muda wako Kuchangia au Kushauri chochote kile kwani tunawajua kwa Unafiki Wenu na Kamwe hamtutakii mema.
Cc: SAGAI GALGANO
AahaahΓ aaUnaona ukisema "tucheze kama yanga walivyocheza Nigeria"utashambuliwa na dunduka wenzako
Igeni TU hakuna namna mmepewa darsa
Mamelodi hawanaga ujinga,Binafsi sijafanikiwa kuangalia mechi za Mamelody ila nafikiri ifike muda timu za bongo tujifunze kwa Memolody jinsi ya kuwafunga waarabu mana huwezi kuacha kukutana nao, kwa sababu wamelishika soka la Afrika, timu zao zinapatika katika hatua mbalimbali za mashindano.
Hivi hao Mamelody wanatumia mbinu gani kuwafunga hawa waarabu mana walikuwa wameishashindikana ila kwa sasa Mamelody anajipigia tu Waarabu.
Juzi kampiga Belouzdad goli 3-1, na Belouzdad alikuwa nyumbani.
Onyango afungwe spidi governor ya kufanya rafuNina wasiwasi wale warabu watatulazimisha tufanye makosa wenyewe yatakayotugharimu either Red card au Penalty.
CAF kugumu sana kumejaa majabali ya Africa tofauti na kule ndondo cup.
Low block ni mfumo unaohitaji kuwa na Wachezaji wanaoshinda battle ya aerial balls angalau Kwa 75%. Je tunao?Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni wana Simba SC Wenzangu wote hapa JamiiForums tulijadili hili Kiufundi na tafadhali kama unajijua Wewe ni Shabiki wa Mganga Kasema Jini linataka Damu za Wanachama Wetu 500 Tu Ili Tushinde kwa Kishindo Jumapili FC usipoteze muda wako Kuchangia au Kushauri chochote kile kwani tunawajua kwa Unafiki Wenu na Kamwe hamtutakii mema.
Cc: SAGAI GALGANO
Ally mwenye Komwe, Kamwe hawezi kuwa na akili..Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni wana Simba SC Wenzangu wote hapa JamiiForums tulijadili hili Kiufundi na tafadhali kama unajijua Wewe ni Shabiki wa Mganga Kasema Jini linataka Damu za Wanachama Wetu 500 Tu Ili Tushinde kwa Kishindo Jumapili FC usipoteze muda wako Kuchangia au Kushauri chochote kile kwani tunawajua kwa Unafiki Wenu na Kamwe hamtutakii mema.
Cc: SAGAI GALGANO
Inawezekana ikiwa Onyango na Chama hawatacheza.Kabisaa na makocha wapange huu mfumo, 4-1-4-1
Yaan hapo waachezaji wakiwa na ari na morari mbna tunapitaa,
Kikubwa tuwe waangalifu kuepuka kona na fouls zisizo na mpango, yaan wachezaji wajue kuipambania team.
[emoji881] nguvu 1
Hallah [emoji3590][emoji833]
[emoji120][emoji120]
Yaani ni hivi ata mkicheza back block mtachapika kivyovyote vile, Iwe kwa kuwahonga marefa, iwe kwa kupitia dirishani, iwe kwa red card, ni lazima whydad asonge nusu fainali, kama nyie mlishindwa kutumia home advantage vizuri msifikirie waarabu watakuwa na huruma na nyie, wale jamaa awanaga huruma kwenye mechi za maamuzi ata kidogo, wao wataingia na plan A na B, Plan A ni kuakikisha mnapigwa ndani ya uwanja, wakiona mmekuwa wagumu kwa kuzuia sana wanakuja na plan B ambayo ni refa kurahisisha mambo, itatafutwa penalti au red card na mission inakuwa complited, kwaiyo izo plan mlizonazo sijui kuchezesha mabeki 7 na wakabaji wote waliobaki aitowasaidia chochote, Mlikosea mechi ya kwanza kushinda kigoli kimoja sasa wao wataenda kuwaonyesha ni namna gani unatakiwa utumie home advantage vizuriNami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni wana Simba SC Wenzangu wote hapa JamiiForums tulijadili hili Kiufundi na tafadhali kama unajijua Wewe ni Shabiki wa Mganga Kasema Jini linataka Damu za Wanachama Wetu 500 Tu Ili Tushinde kwa Kishindo Jumapili FC usipoteze muda wako Kuchangia au Kushauri chochote kile kwani tunawajua kwa Unafiki Wenu na Kamwe hamtutakii mema.
Cc: SAGAI GALGANO
Au hata mfumo wa 8 - 1 - 1 utatufaa sanaNami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni wana Simba SC Wenzangu wote hapa JamiiForums tulijadili hili Kiufundi na tafadhali kama unajijua Wewe ni Shabiki wa Mganga Kasema Jini linataka Damu za Wanachama Wetu 500 Tu Ili Tushinde kwa Kishindo Jumapili FC usipoteze muda wako Kuchangia au Kushauri chochote kile kwani tunawajua kwa Unafiki Wenu na Kamwe hamtutakii mema.
Cc: SAGAI GALGANO
Nimecheka mpaka basi Mkuu. Eti 8-1-1.Au hata mfumo wa 8 - 1 - 1 utatufaa sana
Bolaπππ hatutaki visingizio maana kijana wa kutoka accademy onyango hatocheza ana njano ππππBola tujadili saiv yatakuwa yamelala
Hapo sasa mtihanii mweeeh.Inawezekana ikiwa Onyango na Chama hawatacheza.