Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe hukuangalia mechi mpaka mwisho, Mamelodi wamempiga Mwarabu goli 4 kwa 1 kwao, wanasubiliwa sasa waende South Africa waoneshwe kaburi la Al Ahaly walipozikwa.Binafsi sijafanikiwa kuangalia mechi za Mamelody ila nafikiri ifike muda timu za bongo tujifunze kwa Memolody jinsi ya kuwafunga waarabu mana huwezi kuacha kukutana nao, kwa sababu wamelishika soka la Afrika, timu zao zinapatika katika hatua mbalimbali za mashindano.
Hivi hao Mamelody wanatumia mbinu gani kuwafunga hawa waarabu mana walikuwa wameishashindikana ila kwa sasa Mamelody anajipigia tu Waarabu.
Juzi kampiga Belouzdad goli 3-1, na Belouzdad alikuwa nyumbani.
umeona jamaa atakula umeme 😂Nnaiona kadi nyekundu kwa Inonga
Watu wanatakiwa kukimbia sana. ..wasi wangu ni Onyango jamaa akipewa pressure anakua anakabia machoHuyo jini mwambieni akafie mbele huko manina,hapo kwenye 4 1 41 ndo penyewe hapo,huo mfumo unaweza ukachanganyikiwa ukicheza nao,alipigika sana horoya na huo mfumo asee..[emoji109]
Hiyo Mamelod ina mataji mangapi ya CAFCL kama waarabu ni wazee?Aina ya wachezaji wa Mamelody ni tofauti na Simba, mchezaji tegemeo Simba ni chama, spidi ya konokono, wengine wazee, mwarabu inatakiwa umpeleke spidi mwanzo mwisho, utawezaje timu imejaa vibabu kina Onyango?
Last season waliishia wapi?Mamelodi hawanaga ujinga,
Wale mwanzo mwisho wanamwaga mwaniii,njugu,
Acha Bange / Bangi sawa?Mkuu safari hii mnatumia fundi wa wapi mbona kimya-kimya?
Ujue Wewe tu mbinu hiyo wao chini ya kocha bora kuliko wote kuwahi kutokea kucheza na timu za Tz asijueNami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V Stadium Siku ya Ijumaa na Mnyama ( Simba SC ) kutinga kwa mara ya Kwanza CAFCL Semi Finals?
Karibuni wana Simba SC Wenzangu wote hapa JamiiForums tulijadili hili Kiufundi na tafadhali kama unajijua Wewe ni Shabiki wa Mganga Kasema Jini linataka Damu za Wanachama Wetu 500 Tu Ili Tushinde kwa Kishindo Jumapili FC usipoteze muda wako Kuchangia au Kushauri chochote kile kwani tunawajua kwa Unafiki Wenu na Kamwe hamtutakii mema.
Cc: SAGAI GALGANO
Fundi wao alipigiwa kitabu na waarabu mpaka ile mvua aliyozoea kuachia ikabackfire, Na goli likapatikana moja kama la dawa, Sasa nafikiri wameenda nae moroco kwenye ule msafara lakini anaweza akalipukiwa matunguri yake uko uko maana waarabu si mchezo kwa kitabu!Mkuu safari hii mnatumia fundi wa wapi mbona kimya-kimya?
Kitabu gani? Kama ni Quran basi hakuna jipyaFundi wao alipigiwa kitabu na waarabu mpaka ile mvua aliyozoea kuachia ikabackfire, Na goli likapatikana moja kama la dawa, Sasa nafikiri wameenda nae moroco kwenye ule msafara lakini anaweza akalipukiwa matunguri yake uko uko maana waarabu si mchezo kwa kitabu!
Akuna jipya ndio maana mkapata goli moja kwenu, kinyume na matarajio ya mganga wenu!
Hata hapo juu nimesema sikuangalia hiyo mechi, nilihadithiwa tu na huwa siwafuatilii Mamelody ila kuanzia mechi ijayo lazima nianze kuwatazama nione wanatumia mbinu gani kuwanyanyasa Waarabu nje ndani.Wewe hukuangalia mechi mpaka mwisho, Mamelodi wamempiga Mwarabu goli 4 kwa 1 kwao, wanasubiliwa sasa waende South Africa waoneshwe kaburi la Al Ahaly walipozikwa.
Inonga anapenda sifa kuingilia vitu visivyo mhusu hii game itakua na tension kiherehere chake ataingilia ugomvi, pili anatabia ya kupenda battle ya kukaba na tackling za kijinga tusubiri tuoneumeona jamaa atakula umeme [emoji23]