Wana.JF Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia KONDOMU,Ikafikia hatua tukasahau KONDOMU,SASA NIMEJIKUTA NA MAGONJWA YA ZINAA.NINA UHAKIKA YEYE NDIO KANIAMBUKIZA SIJAMWAMBIA,SASA NIMUACHE AU NIMWAMBIE.NISAIDIENI.
asa kuandika chuo kikuu ili iweje?tujueje au ulikuwa unamaanisha nini?chuo kikuu nao ni wazinzi kama watu wengine ambao hawajabaatika kwenda darasani,jitahidi ukatubu kwa mungu kwa ajili ya uzinzi uliofanya na umwambie mwenzako kama anakupenda kweli muoane haraka ili msiwe wazinifu.nenda hospital mkatibiwe wote..
yuko wapi huyo mzee serengeti, mbona kajificha kupokea ujumbe wake.? Kama upo naomba nijue huyo mpenzi wako yuko chuo gani then ntakuambia namna gani hawa she/he wa chuo walivyo na how to avoid kukuambukiza.! Nyw kapime na upate tiba ya magonjwa yako.
Wakati unamtongoza au mnatongozana mbona hukutuomba ushauri? Je iwapo asingekuambukiza magonjwa ungetujulisha vile vile? Jaribuni kuwa mnatatua matatizo mengine peke yenu.Wana.JF Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia KONDOMU,Ikafikia hatua tukasahau KONDOMU,SASA NIMEJIKUTA NA MAGONJWA YA ZINAA.NINA UHAKIKA YEYE NDIO KANIAMBUKIZA SIJAMWAMBIA,SASA NIMUACHE AU NIMWAMBIE.NISAIDIENI.
Pole sana usitahamaki, nakumbuka kuna mdada nilimsimamia harusi alipata case kama hiyo mumewe alikasirika akawa tayari kumuacha kabisa sababu alikuwa anajiamini hajatembea na mwanamke mwingine zaidi ya mkewe,wakaenda hsptl kupima mkewe akawa hana kabisa ugonjwa kama mjuavyo mwanaume akipata maambukizi asubuho after some few hrs inajitokeza
baada ya kufanya uchunguzi sana wakagundua kumbe mumewe alijisaidia choo cha kukaa ofisini na sio yeye peke yake kapata bali kuna wababa wengine wawili....ndio kesi ikapoa yaani unaweza pata kwenye public toilet na yeye pia anaweza pata huko chuoni msaidie kwa kumwambia mwende hsptl akatibiwe
Jamani jamni hii ni 'network'!!! Sasa na huyo demu si naye akamchukue mwenzake aliyemletea hayo madudu naye akapimwe?!Mwambie na muende wote kwa daktari na mfanye vipimo vyote hadi hiv ili mpate ushauri hata kama ni ule wa kuishi kwa matumaini.
Na huko chuo ulienda kusoma au kufanya ngono tena ngono zembe?
si unajua tena ujana maji ya moto? vp mpenzi?Mwambie na muende wote kwa daktari na mfanye vipimo vyote hadi hiv ili mpate ushauri hata kama ni ule wa kuishi kwa matumaini.
Na huko chuo ulienda kusoma au kufanya ngono tena ngono zembe?
<br />Wana.JF Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo kikuu tumekubaliana kwa mapenzi ya mungu tunaweza kuwa mwili mmoja,kwa kweli tumekuwa tukikutana kimwili tulikuwa tuna tumia KONDOMU,Ikafikia hatua tukasahau KONDOMU,SASA NIMEJIKUTA NA MAGONJWA YA ZINAA.NINA UHAKIKA YEYE NDIO KANIAMBUKIZA SIJAMWAMBIA,SASA NIMUACHE AU NIMWAMBIE.NISAIDIENI.
Ushauri mgumu ambao hauzoeleki ni huu wa kuishi kwa matumainiMwambie na muende wote kwa daktari na mfanye vipimo vyote hadi hiv ili mpate ushauri hata kama ni ule wa kuishi kwa matumaini.
Na huko chuo ulienda kusoma au kufanya ngono tena ngono zembe?