Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Kuna ugonjwa flani wa macho nimeupata.Sijui unaitwaje lakin ni kwamba macho yanauma sana na yamekuwa mekundu pia yamevimba.Cha ajabu baada ya siku 2 na rafik yangu nae kaupata.Tulipowauliza watu wanadai eti unaambukiza kwa njia ya kuangaliana.Je ni kweli? Na hapa hostel mabibo wengi naona wanaumwa pia.Je nini dawa yake?