Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Yaani nahisi nitaupata muda si mulefu kwani jamaa tupo chumba kimoja na anao..
Kuna ugonjwa flani wa macho nimeupata.Sijui unaitwaje lakin ni kwamba macho yanauma sana na yamekuwa mekundu pia yamevimba.Cha ajabu baada ya siku 2 na rafik yangu nae kaupata.Tulipowauliza watu wanadai eti unaambukiza kwa njia ya kuangaliana.Je ni kweli? Na hapa hostel mabibo wengi naona wanaumwa pia.Je nini dawa yake?

Red Eyes