Nimeamini 100% Mwaka 2025 Rais ni Membe

Endelea kuota😀
 
Nisichotaka ni CCM kuendelea tu kututawala kwa shuruti. Hiyo michezo ya kupotezana sina tatizo nayo maana CCM imefikia mwisho.
 
Msiwe na mihemko jamani
 
mmh!! kwa hiyo Kama mpango umevurugika tayari ,unataka kutuambia tujiandae kisaikolojia kupokea taarifa nyingine zaidi Kama ya leo !!?
 
Mit 27:1-2 SUV
Usijisifu kwa ajili ya kesho; Kwa maana hujui yatakayozaliwa na siku moja. Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe.
 
Hebu jisikie aibu kwa hizi pumba zako ulizoandika hapa. Halafu unajiita genius, anyway tambua kuanzia sasa kuwa wewe ni PUMBAVU tu
 
Unasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…