Nimeamini humu LC hakuna mabinti ila mijimama

Ben Nyoni

Senior Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
115
Reaction score
136
habari za jioni wana love connect

ninahakika humu hakuna mabinti wanaohitaji kupata wenza,maana vijana wengi wanajitokeza na kutoa detail zao,lakini hakuna mrejesho kwamba wamefanikiwa,nauliza humu wamo majimama tu?
 
Sitaki kijana,ASIEELEWA!
Nataka JIMAMA,la KISAWASAWA!....
Nimejikuta namkumbuka tu Ankali Ally Star!
 
Tupo mijimama ndio!
Daah[emoji27] Mimi Napenda Maana Visichana Bado Sanaa...Yaan Hawana Mambo Ya Kiutu Uzima Kma Majimama[emoji2] [emoji2] !! Ila Mimi Mwenywe Serenget Boy[emoji2] [emoji2] !!
 
Mi ndo sijawah hata kupm na mtu humu ndani
 
Mkuu humu huwezi leta mrejesho mazito utakayo kutana nayo humu utajuta ni bora ujaribu na wewe mtihan huo ujipime utapata ngapi ndio utuletee mrejesho au uzame kama wengne.
Aliyefanikiwa husahau shida ndiyo maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…