Hahahaaaaa Katavi mi nililirekodi kuwa ndio jina pekee la JF ambalo ni refu na halitamkiki hata kidogo
Lol hapo hakuna kitu
Nadhani hata yeye hawezi kulitamka
Naona umeasi na kuachana na Uchungaji ingawa adui yako ni yule yule. Eti nasikia Siku hizi Malaria Sugu anaitwa Tume ya Katiba!!! Back to the topic Jina hili inaonekana linatoka huko kwa kina Ravalomanana na Rajoelina. Huko Madagascar kwa kina Razadranilinilina na Didier Rastiraka. Karibu Mgeni