Hapana naomba uje upike!!Mkuu, umekunywa chai kweli wewe? au usiku mama nanhii alikulaza njaa?
PJ Mfano huo hapo wa Ancle rukusi!!!Kweli mimi mtu akiniudhi the maximum nakimbilia JF baade ujikuta natoka navicheko vingi sana na siku inasogea!1Asante PJ.Yes..JF ni society yenye sheria, taratibu na miiko yake, hivyo wanaoingia humo ni lazima wajibadilishe na kufanana kwa namna fulani!
Nimekuwa nikisoma thread nyingi za watu pamoja na zakwangu mpaka nafikia mahali nacheka peke yangu Pengine najiuliza nilikuwa nawazanini!!kuandika thread kama hii!!Uanakuta mtu kaweka thread inamambo inakubidi ucheke tu hadi watu wana kushangaa mtu unacheka nini!!Uwezi kuamini watu wakiingia humu hubadilika bila kujali wadhifa walionao kwenye jamii!!Na umri walionao!!Wake kwa waume!Baadae nikaja kugundua ukiwa JF nikama kazi ya Daladala!!Kwani Dereva wa Daladala bila kujali umri alionao anawezakufanya kitu ukashangaa alikuwa anawaza nini!!kumbe nmazingira yanakulazimu ubadilike kwavyovyote vile kwani kiachokulazimu ni mazingira!!.
Dena Amsi nilitaka nikugongee senksi lakini kitufe cha bofya kwenye wall yako hakiko omba kwa MOD's:A S 41:
Kuna thread mlikuwa mnaulizana na mtu sijui ana##gggngg nimecheka sana!!
Kuna thread mlikuwa mnaulizana na mtu sijui ana##gggngg nimecheka sana!!
Kuna kitu kimetaka kuniharibia siku imebidi nirudi hapa kucheka na kutoa hiyo kisirani
In the beginning nilikua natoa comments nzuri sana but these days nimekuwa comedian like the rest of us.
JF is somehow like a comedy club where everyone is an anonymous comedian.
Poa nakuja umekaa kaunta ipi??mbona sikukuona nikaona ngoja nirudi huku kukuuliza au sina accses yahuko??njo kule umtetee figganigga. Mshkaji hana raha kabisa. Yeye kilio kwa mods. Natangulia utanikuta.
Nimeisha cheka hadi tumbo kuumia!!ahaaaaaaa leo!!!!duh! Sahv tukitaka kucheka tunakimbia kwenye hili lithread.
Hahahahahahahahahahaha! Kk pokea cheko hilo.
Ahaaaaaaaaaaaaaa!!pls stop it my mbavu jamani!!!In the beginning nilikua natoa comments nzuri sana but these days nimekuwa comedian like the rest of us.
JF is somehow like a comedy club where everyone is an anonymous comedian.
We acha watu huku wamepinda!!Baba na wajukuu utadhani bandarini!!Kabisa umeongea point nzito sana siku hizi ni full comedy
Na hii thread inachekesha kweli maana nimecheka mpaka basi
Kabisa umeongea point nzito sana siku hizi ni full comedy
Pumzika kwa amani Dena Amsi, Mungu akulaze mahala pema peponi mpendwa wetuKuna kitu kimetaka kuniharibia siku imebidi nirudi hapa kucheka na kutoa hiyo kisirani