Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
Sio woteWakitoka kwenye ajira ndo taabu inazidi. Bora wavumilie.
Wengi.Sio wote
Bado sio woteWengi.
Hakuna kazi isiyo na changamoto mkuu, hata huku sisi tuliko tuna changamoto nyingi tu zinatusibuWanajukwaa kweli nimeamini kuajiriwa ni utumwa,ukiingia jukwaa la ajira na tender ndo utajionea waajiriwa walivyo na hali ngumu.Kila kona ni vilio na kero. Kuanzia halmshauri ya Itigi mpka uko mtwara ndani ndani ni vilio tu vya kunyimwa fedha za kujikimu, kutopandishwa madaraja na kadhalika na kadhalika. Waajariwa wengi ni watu manungaembe akili zao ziko dormant. Mkome kabisa, mlishindwa ata kukaanga vitumbua mkapange barabarani???😂😂😂
Kweli.Bado sio wote
Hata wanaolalamika sio wote pia Kwahiyo anachoongea secretarybird kina mashikoBado sio wote
Why Itigi lkn?Wanajukwaa kweli nimeamini kuajiriwa ni utumwa,ukiingia jukwaa la ajira na tender ndo utajionea waajiriwa walivyo na hali ngumu.Kila kona ni vilio na kero. Kuanzia halmshauri ya Itigi mpka uko mtwara ndani ndani ni vilio tu vya kunyimwa fedha za kujikimu, kutopandishwa madaraja na kadhalika na kadhalika. Waajariwa wengi ni watu manungaembe akili zao ziko dormant. Mkome kabisa, mlishindwa ata kukaanga vitumbua mkapange barabarani???😂😂😂
Asante kwa kunitetea babu yako, maana nimechoka ku-type. Si unajua mbege ya kwa mama Munuo inavyolewesha haraka!Hata wanaolalamika sio wote pia Kwahiyo anachoongea secretarybird kina mashiko
Watajua wenyeweWafanyeje asa
Nakubali babu nikipokea mshahara (maana bado sijalipwa )nitakuja kujumuika na weweAsante kwa kunitetea babu yako, maana nimechoka ku-type. Si unajua mbege ya kwa mama Munuo inavyolewesha haraka!
Karibu sana. Ukifika nitakusimulia matukio yaliyotikisa kuanzia mwaka 47 kuja huku.Nakubali babu nikipokea mshahara (maana bado sijalipwa )nitakuja kujumuika na wewe
Unitafutie na shamba nije kulima au nikaze tu kwenye kuajiriwa?Karibu sana. Ukifika nitakusimulia matukio yalitikisa kuanzia mwaka 47 kuja huku.
Nakutafutia shamba la migomba na magimbi, pia nitakupa jimbi (jogoo) mkubwa urudi naye mujini.Unitafutie na shamba nije kulima au nikaze tu kwenye kuajiriwa?
Kweli mr ukichanganya akili vizuri ajira inakupa utajiri ni akili tu na mipangi na MUNGU basiUnaajiliwa kwa target ukikaa kizembe ndio utaona utumwa.