RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Waziri anazungumzia nishati safi huku akijuwa pamoja na kutoa hiyo mitungi yake ya gesi ajue kuwa itageuzwa kuwa viti vya kukalia kwani gesi haikamatiki bei ipo juu.
Kama asingekuwa anadanganya umma katika utekekezaji wa suala hili basi angewashawishi wafanyabiashara wapunguze bei ya gesi ili watu waweze kutumia gesi hiyo lakini nachokiona anahamasisha watu watumie nishat safi ya gesi ni kama anejitoa ufahamu kuwa gesi ni gharama kubwa kwa watumiaji! wafanyabiashara wanaokutuma waambie wapunguze bei ya gesi ili kila mtu aweze kutumia.
Mfano kama gesi itauzwa kwa mtungi mdogo tsh 5000-9000)= binafsi watu wengi wataachana na mkaa sasa kama itauzwa tsh 32,000/= juwa tatizo lipo palepale.
Kwa sasa umeme umekuwa shida nchi nzima visingizio vya kupungua kina cha maji tayari vimeshaanza wananchi tunaisoma namba tunaotegemea umeme katika biadhara zetu.
Mtoto pendwa tuko pamoja na wewe lakini hakuna ulichofanya ukafanikiwa zaidi ya porojo.