LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Story iko hivi kama miezi sita kuna mteja alikuja akanipa kazi ya kumtengenezea tv nikamchaji elf35 alinipa hela usiku muda wa saa1 kesho nikawa siioni elfu 10 na ikapotea mazingira ya kutatanisha kwasababu niliiacha ofisini sasa kesho yake nikawa natafuta kwamba niliichukua muda gani ila nikakosa majibu.
Nikafikiria labda yule mteja kanifanyia chuma ulete ama nikawa sina uhakika nikapotezea sasa Jana asubuhi akanipa kazi ya kumrushia nyimbo kwenye flashi nikampelekea usiku muda wa saa1 na mfukoni nilikuwa na elfu 30 ambayo nilitarajia nijazie elfu 10 nilipe kodi na nilikuwa nimeziweka pamoja nimezikunja vizuri tu sasa baada ya yule jamaa kunipa hiyo 5000 nikaitupia na kuchanganya na zile 30 ikawa elfu 35 sasa asubuhi naamka nafika kazini nataka nilipe kodi nakuta ipo 25 tu, sikuamini nikasachi mifuko yote hola.
Nikakumbuka tukio lililopita maana nilimwambia kabisa kwamba teni ilipotea kwenye ile kazi ya tv. Basi nikagundua yule jamaa ana mambo ya chuma ulete bora angechukua tu kaki yake, yeye akaamua kuchukua na yangu kabisa.
Dah! Imeniuma mno.