Nimeamini matingasi ndio suluhu ya wachawi

Nimeamini matingasi ndio suluhu ya wachawi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Jana nilikula kavaluu kadogo.

Kama kawa nikashashusia za kienyeji baadae nikasakafia na balimi tatu.

Nimerudi home saa tano nipo matingasi.

Sijasikia malue wala ndoto za ajabu za majinamizi na kukimbizwa usiku
 
Back
Top Bottom