Tetesi: Nimeamini Mhe. Mbowe sasa amekwama

Tuache siasa kwenye jambo hili.
Watu wamefiwa watu wanaomboleza.
Inauma sana.
Acheni masihara.
Naamini kabisa ndugu yako wa karibu angekuwa kafa kwenye hii ajali usiangendika hizi mambo humu.
Tuacheni tuomboleze. Siasa za kipuuzi tupa kule.
Mwambie Mbowe aache siasa kwanza ndiyo anayeuzi sana kwa siasa zake uchwara
 
Mkuu mmiliki wa kivuko ni serikali, hivi watanzania wapoteze maisha na pasiwepo na yeyote wa kunyooshewa kidole? Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama ni machungu. Kubadirisha injini pekee siyo ufumbuzi wa kuzuia ajali
Mkuu kweli ni uungwana kuanza tutoa maneno ya kijinga kama ya Mbowe wakati huu hata ndugu zetu hawajazikwa?? Ni utu gani huo? Sometime we have to be serious angekuwa amefiwa yeye angekuwa anatoa ujinga huo kabla hajazika wapendwa wake?
 
Nmeona username tu hata sijaendelea kusoma
 
Mkuu kwanini thread yako usiandike Kitabu? Maana ungeweza hata kukiuza ukaganga njaa
 
Hizo boti za doria ziko wapi?. Mbona mmehairisha uokozi kisa Giza?. Hii laana isiwaache ccm wote.
 
Bandiko la kisiasa hli watu wapo katka majonzi nyie ndo mnapata fursa za upmbv wenu acheni upuuz bhana.
 
Tatizo teuzi ndo zinawafanya watu wajitoe ufahamu....
 
Mmeambiwa msilete siasa msibani.

Sasa na wewe bulaza mbona unaharibu mudi ya waombolezaji?

Lete hoja yako sio msibani bali baada ya matanga.
 
userious una u define vipi kwa wewe??
Mkuu kweli ni uungwana kuanza tutoa maneno ya kijinga kama ya Mbowe wakati huu hata ndugu zetu hawajazikwa?? Ni utu gani huo? Sometime we have to be serious angekuwa amefiwa yeye angekuwa anatoa ujinga huo kabla hajazika wapendwa wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…