Nimeamini Mungu huwa anajibu maombi

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,400
Reaction score
14,339

ama kweli Mungu yupo na huwa anajibu maombi ebu angali hiyo picha uone maombi aliyoombewa Paul C. Makonda. maombi hayo aliombewa na Christina Shusho kuwa ndani ya mwaka huu Paul C. Makonda atapata jina jipya na kweli maombi yamejibiwa si amePata jina jipya? ama si lake hili la DAUDI ALBERT BASHITE?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bashiteee
 
Hii haina tofauti na ile ya kusema Mungu huwalisha Ndege ambao HAWALIMI,

WAKATI HUOHUO TUNALALAMIKA KUA NDEGE WANAKULA MAZAO YETU TULIOPANDA SHAMBANI.
 
Kwel amejibu, amempa jina kubwa sana kupitia kijana wake GWAJIMA
 
Hii haina tofauti na ile ya kusema Mungu huwalisha Ndege ambao HAWALIMI,

WAKATI HUOHUO TUNALALAMIKA KUA NDEGE WANAKULA MAZAO YETU TULIOPANDA SHAMBANI.
msg yako ni ndogo lakini ujumbe wake ni mzito sana ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…