Nimeamini Rais Samia ni moto wa kumbi


Uongozi wake hautokuwa na tofauti sana na ule wa Boss wake wa zamani Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya M. Kikwete.

Na isitoshe hata kwa sasa ( japo inafichwa ) ila Mshauri Mkuu wa Rais Samia ni Rais Mstaafu Kikwete na Wazee Waandamizi baadhi wa CCM.

Hatoacha pia kupita mule mule alikopita Hayati Rais Dkt. Magufuli japo kuna maeneo hatomuiga ila ataboresha zaidi katika hali ya Kujenga.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…