Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Utasikia wabongo vijiweni "Mzungu Mchawi sana", hii kauli sio kwamba limepatikana tunguli la Muingereza au Mjerumani la hasha bali vifaa vya kila siku vya kielektroniki; hivi.
Kuna anayetambua kuwa hizi simu tunazotumia kuingia JamiiForums zimetengenezwa kwa kutumia mchanga, yaani motherboard pamoja na viambatanishi vyake vingi ni silicone (ambayo ikiungana na oksijeni inatengeneza mchanga)
Silicone hiyo hiyo imetumika kutengeneza vioo na material nyingine kadha wa kadha