Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Kuelezea kwa mdomo ni rahisi! Eti siliconi ni mchanga? Bei ya siliconi per kilogram ni $427 sawa na zaidi ya Tsh 1,000,000/=. Haya chota mchanga kwako nenda kauuze!Silicone inatokana na silicate na silicate inatokana na mchanga uliochujwq na kusafishwa vizuri kisha ukachomwa kwenye boiler la nyuzi joto 1000+ na kuyeyuka na kuwa ujiuji
Ujiuji huo ukichanganywa na chemikali nyingine unapata sabuni ya unga, vioo nknk
Sasa si purified mkuu na milolongo mingine , we unadhani ukiingia mchuchuma na liganga utaokota tu vipande vya chuma uanze kutengeneza misumariKuelezea kwa mdomo ni rahisi! Eti siliconi ni mchanga? Bei ya siliconi per kilogram ni $427 sawa na zaidi ya Tsh 1,000,000/=. Haya chota mchanga kwako nenda kauuze!
Mchanga hupi! Silicon (ni element kwenye periodic table na ina symbol 'Si' yenye atomic number 14 na atomic mass 28).Sasa si purified mkuu na milolongo mingine , we unadhani ukiingia mchuchuma na liganga utaokota tu vipande vya chuma uanze kutengeneza misumari
Uyo kila kitu anajua shauri yako.Kuelezea kwa mdomo ni rahisi! Eti siliconi ni mchanga? Bei ya siliconi per kilogram ni $427 sawa na zaidi ya Tsh 1,000,000/=. Haya chota mchanga kwako nenda kauuze!
Soma maelezo vizuri nimesema SILICONE inatokana na SILICATE.... Nimefanya kazi ya kuzalisha silicate huko Pwani kwa miaka minne kwa kutumia mchanga mweupe unaopatikana mainly Misugusugu kwa ajili ya Kiwanda cha sabuni ya ungaKuelezea kwa mdomo ni rahisi! Eti siliconi ni mchanga? Bei ya siliconi per kilogram ni $427 sawa na zaidi ya Tsh 1,000,000/=. Haya chota mchanga kwako nenda kauuze!