DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Hello how are you!
Kama nilivowagusia kwenye uzi wangu ulopota.
Baada ya kupata mishe mkoa wa Tanga nilifanikiwa kukutana na kufahamiana na watu wengi wafanya biashara hasa hasa.
Miongoni mwa watu nilofahamiana nao kuna watu wa3 ambao nilikuwa nao na nipo nao closer kuliko wengine. Hawa jamaa wa3 ni wafanya biashara wazuri tu na wanafanya vizur kwenye game.
Kati ya hawa wa3, wa2 naishi nao vizur na wao real na honest sana kwangu kwasababu naona tunashirikiana vizur kwenye biashara kwasababu mimi nilianza kwenye wholesale pekeake nawauzia wao. Waliniookea vizuri sana na niliishi nao vizur tu.
Sasa hawa wa 2 hawana ishu wapo poa na tunafanya kazi kama kawaida ila huyu mmoja nimuite Yuda kwenye huu uzi. Yuda bhana kama jina lake linavosomeka ni Yuda iskariote haswa.
Nilipofika na kuanza kufanya kazi mambo yalikuwa sawa kwa wote lakini kadri siku zilivokuwa zinazid kwenda nilikuwa naona kama Yuda anaanza kuonesha kinyongo kiasi akaanza kuagiza mali dar anaacha kuchukua kwangu sometimes ananunua kwangu.
Tuliishi hivohivo kibishi lakin nilikuwa natumia mbinu tofauti tofaut ili kuhakikisha wateja wangu wanachukua bidhaa kwangu na hawaagizi dar na wakienda au kuagiza dar bas wafungashe vingine ambavyo mimi siuzi.
Nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa na wakawa wanachukua sana kwangu. Baada ya kama miez sita hivi nikaingiwa na wazo la kutafuta frem ili namm nifungue retail store ndogo tu.
Sasa nilipoanza kishuhudia unafiki ni baada ya kumshirikisha Yuda hili wazo langu......
See you......