Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Hasa kabla hujafika Sonikona za mombo-lushoto je?
HahhahahaaaaDah.. nyie inaonekana hamjawahi kupita Toure Drive ukiwa unaenda Coco beach [emoji56] [emoji56] [emoji481] [emoji481]
Ha ha ha haya banaDah.. nyie inaonekana hamjawahi kupita Toure Drive ukiwa unaenda Coco beach [emoji56] [emoji56] [emoji481] [emoji481]
Nilikua nimepanda coaster za shashui, yule dereva alivyokua analalanazo zile kona, ilinibidi nihame seat ya mbele niende nyuma kabisa daaah.kona za mombo-lushoto je?
Sijawahi pita ila nimezifuatilia mtandaoni tuMkuu hizo Barabara ulishawahi kuzipita?
Dah... tumbo lina nini tena??[emoji4]Nikipitaga barabara hizo nahofiaga tumbo langu tuu
Uoga wako tu uoNikipitaga barabara hizo nahofiaga tumbo langu tuu
Huo utafiti ulifanyia wapi mdau, hadi unakuja na hitimisho kwamba watu wa mikoa hiyo wanaogopa kona za huo mlima,Wakuu salam zenu..
Mmekuwa waoga sana kwa kuongelea mlima wa kitonga ni hatari zaidi kutokana na kuwa na kona nyingi juzi nilipopita pale kweli nimeamini watu wanaishi mikoa hii ya mbeya, iringa, ruvuma ni waoga kuliko kwa kuwa zipo barabara hatari zaidi ya mlima huo kitonga
Barabara hatari zaidi duniani
[emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75]Nilikua nimepanda coaster za shashui, yule dereva alivyokua analalanazo zile kona, ilinibidi nihame seat ya mbele niende nyuma kabisa daaah.
Enzi ya the Mighty Kiswele iga ufe, supu ya mawe suka Marehemu Wiligisi, miaka ya 95 hadi 98 nilikuwa nikienda kunyumba lazima nikae siti namba mbili, namba moja my late bro piga UA tukikosa hizo siti hatusafiri. Kona za ruaha mbuyuni mpaka mikumi gari inapigwa 100 kph halafu wrong side. Wanaoifahamu hii barabara upande mmoja mlima upande mwingine MTO Ruaha acha bana Kiswele noma. Dar linatoka kumi na mbili saa kumi na moja jioni tupo bombambili watu wanashangiliaje. Hiyo kitonga pale mabasi yanashindana na kupigana overtake za hatari akina tahfif, tawaqal matema beach. Pale makambako kuna mbuzi walikuwa wanazurula barabarani hawapishi magari only wakisikia honi ya kiswele ni baru porini.