Nimeamini watu wa Mbeya, Iringa na Ruvuma ni waoga kuhusu mlima Kitonga

Ilikuwa hataree no sweet kiswele
 
Watu wa Mbeya....,ni nani kakuambia wanaogopa kona? Usousemee moyo. Tunasafiri kupitia kitonga Mara kibao huku tukiongea kwa kijiachia hatua ambazo nchi yetu inasogelea
 
Hahahaha umenikumbusha mbali yale mabasi ya kiswele yalikuwa engine nyuma yakipita yamefunguliwa ipumuee daaaah yalikuwa mekundu hivi yaani umesimulia hadi nimejiona enzi hizo nipo kijijini kwa bibi kifanya yanapita kasiiiiii
 
Mkuu nlitegemea unalinganisha na mikoa mingine kumbe na nchi za nje duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…