Naamini mtoa post nae atakua kati ya hao wanneJamani watafiti si wameshasema kuwa kwa kila wabongo wanne, mmoja ni chizi?
Aiseeee. Tena foreigners wengine ni wafungwa kule kwao, huku wamekuja kama manamba tu.Si vichaa tu bali ni washamba pia. Ona dada zetu, wakisikia tu kuwa jamaa fulani ni foreigner basi wanampapatikia kinoma bila hata kujuwa ukweli wa jamaa.
watz hawatakagi ujinga[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Msanii yupo jukwaani halafu anauliza "Oya Machizi vipi...?!!"
sasa sikia mashabiki wanavyojibu et ni fresh tu!!
msanii anahoji tena "machizi mko poa..?!!"
sasa mashabiki kwa yowe la kutosha wanajibu tuko poaaaa!!! jamani jamani jamani kweli hii nchi si ya mchezo mchezo
Labda inabidi uwe chizi ili kushiriki hayo matamasha. Kwani King Kiki au Mzee Makasi au Chidumule ulishawasikia wanasema machizi wangu? People and places can tell who can go where.Sasa mbona kwa mule uwanjani wanazidi idadi?
Aiseeee. Tena foreigners wengine ni wafungwa kule kwao, huku wamekuja kama manamba tu.
na wana mkimbizaSi vichaa tu bali ni washamba pia. Ona dada zetu, wakisikia tu kuwa jamaa fulani ni foreigner basi wanampapatikia kinoma bila hata kujuwa ukweli wa jamaa.
Msanii yupo jukwaani halafu anauliza "Oya Machizi vipi...?!!"
sasa sikia mashabiki wanavyojibu et ni fresh tu!!
msanii anahoji tena "machizi mko poa..?!!"
sasa mashabiki kwa yowe la kutosha wanajibu tuko poaaaa!!! jamani jamani jamani kweli hii nchi si ya mchezo mchezo
na wana mkimbiza
Aaaah. Kumbehalafu wanaambiwa piga keleleeeee na wanapiga kelele kweli
NdiyoAaaah. Kumbe
Mbaya sanaSi umeona enheee, ebu tizama tamasha la Fiesta lina umuhimu gani kwa watanzania? Vichaa wanapandishwa dala dala kwenda mikoani kuwatoa watu wazimu. Furaha yao ni ahadi ya kuchezewa nyimbo zao redioni na wakikataa tu wanatoswa na hatimaye kupotea kuigiza nyimbo za mataifa ya watu.
Cha kusikitisha ni kwamba inawezekana huyo foreigners anaweza hata akawa jobless na anawaringia watanzania ambao wana nafasi zao.na wana mkimbiza