Nimeamini watz wengi ni vichaa!

halafu wanaambiwa piga keleleeeee na wanapiga kelele kweli
wengine wapo humuhumu halafu wanajiita et ma great thinker! wkt wakiambiwa machizi piga kelele na yeye anapiga!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

It's just a joke!
 
Mkuu yanaumuhimu wenye
gesti wanapata mshiko,wasanii wanapata mshiko na wanajitangaza sehemu mbalili ktk nchi,wafanyabiashara wanapata mshiko nakadhalika nakadhalika
 
Labda inabidi uwe chizi ili kushiriki hayo matamasha. Kwani King Kiki au Mzee Makasi au Chidumule ulishawasikia wanasema machizi wangu? People and places can tell who can go where.
Ushajijibu!
 
Mkuu yanaumuhimu wenye
gesti wanapata mshiko,wasanii wanapata mshiko na wanajitangaza sehemu mbalili ktk nchi,wafanyabiashara wanapata mshiko nakadhalika nakadhalika

Je, na hao machizi wanaokwenda kuangalia wendawazimu wanashika pumbu na kuimba vitu visivyoeleweka na kuwazomea machizi wenzao wanapata faida gani? Kumbuka, kuna wengine wanaacha kazi zao na kwenda kuzomewa.
 
Ngoja nipitee maana asubuhi hii ina mambo!![emoji3]
 
Je, na hao machizi wanaokwenda kuangalia wendawazimu wanashika pumbu na kuimba vitu visivyoeleweka na kuwazomea machizi wenzao wanapata faida gani? Kumbuka, kuna wengine wanaacha kazi zao na kwenda kuzomewa.
Wanapata burudani wengine huwa nastress lkn wakienda kuchek burudani kama zile hupunguza stress nakuenjoy lkn hata pia mtu unaweza kukutana na mtu ambae mlipotezana long time...
mkuu naona wewe hufeel mziki kivile lkn kwa mimi binafsi i love i love it endapo huwa si muuzuliaji wa matamasha ya mziki lkn is the part of my life...
 
Kwa formula hiyohiyo ingia katika baraza la mawaziri na Wasomi wa kiwango cha PhD hesabu idadi yao, gawanya kwa nne utapata idadi ya machizi katika nafasi hizo!
Ndiyo maana wanapoteaga hata vituo vya kupigia kura za Umeya wanaendaga Kinondoni badala ya Pemba au Zanzibar!
 
Tobaaaa mie!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hili jambo silitofautishi sana na vijana wanawaita ata babu zao " hoya mwanangu..."
 
Sawa chizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…