Nimeamka, jicho linajaa tongotongo kila muda hata likioshwa

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Jamani madokta hebu mnipe ufafanuzi kuhusu hili tatizo:
Nimelala salama, usiku nikaamshwa na maumivu ya jicho kama vile limeingiliwa punje au mchanga, kujitazama limejaa tongotongo kuliko kawaida. Niliwahi kuona zamani sana kwa mtu mwingine ila sijui inasababishwa na nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…