Ndani ya siku mbili hizi nimekuwa nawashwa kwenye pumbu chini.
Kwa wazo la kwanza nilifikiri ni ugonjwa wa zinaa kwani kiukweli niligegeda ndani ya wiki hiyo, ila nimechunguza hapo panapouma nikakuta kuna chale moja ndo ipo.
Je, kuna ugonjwa wowote unaokuja na chale kwenye pumbu? Je hii yaweza kuwa ni nini? Nifanyeje hii chale iondoke maana hata kutembea kwa raha sasa nashindwa.
Yelewii yelewiii uwiii uwiii uwiiee yeuwiiiohooooo.. Kimbia kwa kalumanzira haraka kabla mambo hayajaharibika zaidi...
VP MAENEO MENGINE YAKO SHWARI MKUUU HASWA HASWA IKULU,CHUNGULIA HATA KWENYE KIOO KIJIRIDHISHA MKUU,OTHERWISE POLE SANA.Ndani ya siku mbili hizi nimekuwa nawashwa kwenye pumbu chini.
Kwa wazo la kwanza nilifikiri ni ugonjwa wa zinaa kwani kiukweli niligegeda ndani ya wiki hiyo, ila nimechunguza hapo panapouma nikakuta kuna chale moja ndo ipo.
Je, kuna ugonjwa wowote unaokuja na chale kwenye pumbu? Je hii yaweza kuwa ni nini? Nifanyeje hii chale iondoke maana hata kutembea kwa raha sasa nashindwa.
Yelewii yelewiii uwiii uwiii uwiiee yeuwiii