nimeamua kuacha kazi

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,215
Reaction score
322
kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja.nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya mshahara ninaopata, pia kazini nabanwa sana mda naona nikiacha kazi nitaboresha biashara zagu na kupanua zaidi, ngoja nisubiri mwezi wa saba asipoongeza tu naiaga ajira sioni faida kabisa
 
Haya
 
Huoni faida wakati vibiashara vyako hivyo mtaji umepata toka kwenye ajira.
Kama unataka kuacha kazi Acha kimya kimya kuna wenzako wengi wanatafuta ajira wanakosa. Siyo lazima ulete kufuru zako humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…