Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
STAA mwenye umbo la kipekee katika soko la filamu Bongo, Ruth Suka Mainda amefunguka kuwa ameamua kuukacha mkorogo aliokuwa akiutumia kwa muda mrefu.
Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema ameamua kuacha kutumia mkorogo kutokana na matakwa ya dini yake, amegundua anamkosea Mungu wake kwa kujichubua
.
Nimeamua tu kuacha kujichubua, mkorogo siyo kitu kizuri hata Mungu hapendi vitu hivi ndiyo maana nikaamua kuuacha japo nimetumia kwa muda mrefu, alisema Mainda ambaye kabla ya kuokoka alikuwa Muislamu.