"nimeamua kuacha kujichubua"...mainda

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
STAA mwenye umbo la kipekee katika soko la filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa ameamua kuukacha mkorogo aliokuwa akiutumia kwa muda mrefu.

Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema ameamua kuacha kutumia mkorogo kutokana na matakwa ya dini yake, amegundua anamkosea Mungu wake kwa kujichubua
.

“Nimeamua tu kuacha kujichubua, mkorogo siyo kitu kizuri hata Mungu hapendi vitu hivi ndiyo maana nikaamua kuuacha japo nimetumia kwa muda mrefu,” alisema Mainda ambaye kabla ya kuokoka alikuwa Muislamu.
 
mtu aliekuwa anajichubua halafu akaacha mkorogo

mmh ngozi hadi ije kukaa sawa kazi sana
 
Kwanini asingeacha kabla hajaanza??,ameshaona madhara yake while its too late!!
 

Too late may dear!!!!
Pole sana, lakini hapo kuna uzima Kweli?
 

Chezea NHIF wataacha wengi na bado!!!
 
Aka kademu bwana,juz kalisema kametoa mimba,leo kaacha mkologo,kesho?,wananipazia nina ngoma kisa nilikuwa mpenzi wa marehemu max,keshokutwa?........ujinga mtupu.
 
Kwani ile skendo aliyojipa ya kutoa mimba ya ray haikumpandisha??,sasa iv tena kaja na mkorogo,kesho sijui atakuja na nini,mweeh sema nakakubali aka kabinti kweny camera anakamua kishenz,sema kanaanza ujinga sasa iv
 
Kwani ile skendo aliyojipa ya kutoa mimba ya ray haikumpandisha??,sasa iv tena kaja na mkorogo,kesho sijui atakuja na nini,mweeh sema nakakubali aka kabinti kweny camera anakamua kishenz,sema kanaanza ujinga sasa iv

sio ujinga hanatubu
 
Unamnyooshea mainda kidole wewe umepima????? ile kitu haina ujanja ni Mungu tu aweke rehema zake kwa waja wake....ila kama wewe ni mvua chu......pi jua njia ndo moja. May be uwe padre au sister ila pia kuna kuongezewa damu na kupata ajali kwenye mabasi hvyo bado probability ni kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…