PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kwa jinsi hali na mazingira ya shule pamoja na masomo ninayosoma nimeona bora niache masomo
Ili kulinda heshima yangu juu ya shule hii na maisha yangu kwa ujumla nimeona bora nifanye hivyo,pia kile ambacho nilikuwa nakitafuta masomoni huyu mwalimu wangu anafanya kwa ufanisi mkubwa...sasa kuna haja gani ya mimi kuendelea na masomo?.
Nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu nimeamua kuacha shule
Jamani mbavu zetu........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama majengo yameamua kujibomoa ili kuunga mkono juhudi za mjenzi, kwani wewe unashindwaje?